Monday, April 11, 2011

TAMASHA LA MIRIAM MAUKI LAFANA


Miriam Mauki akiwa jukwaani wakati wa Uzinduzi wa Video yake,uzinduzi huo ulifana sana katika ukumbi wa diamond Jubilee tarehe 10 feb 2011
Baadhi ya mashabiki wa Miriam mauki wakiwa jukwaani
Miriam mauki akiwa na mmoja wa mashabiki wake katika kucheza stail ya Double double

Miriam mauki akiwa na Ritha Chiwalo(mc)wakiwa jukwaani kucheza pamoja

WALIO MSINDIKIZA MIRIAM MAUKI WAKATI WA UZINDUZI WA VIDEO YAKE


Waimbaji wajulikanao kama THE VOICE wakiwa jukwaani kumtukza Mungu

Muimbaji Mathar Mwaipaja ni miongoni mwa waimbaji walio msindikiza Miriam Mauki

Muimbaji Upendo Nkone akiwa jukwaani

Muimbaji wa Muziki wa Injili toka kenya (shankle)akiwa Jukwaani wakati wa Uzinduzi wa Video ya Miriam Mauki

Waimbaji wa kundi wa Whispers Band wakiwa jukwaani

Baadhi ya wanakwaya wa kwaya ya Kinondoni Revival wakijumuika wakati wa uzinduzi wa Miriam Mauki

MATUKIO YA PICHA WAKATI WA UZINDUZI WA VIDEO YA MIRIAM MAUKI



Miriam mauki akiwa jukwaani akitumbuiza wakati wa tamasha

MRIAM MAUKI AZINDUA VIDEO YAKE


Muimbaji wa Muziki wa Injili Miriam Mauki Lukindo akiwa katika jukwaa akiimba kwa hisia kali