
Maximilan Machumu(Mch) akiwa na waimbaji wa Bendi yake ya Mwanamapinduzi. Bendi hii itafanya uzinduzi wa albamu yao ya kwanza tarehe 6 Machi katika Ukumbi wa Dimond Jubillee. Waimbaji watakaosindikiza uzinduzi huu ni pamoja na John Lissu, Jackson Benty, Martha Mwaipaja na Rachel Marlon.
KATIKA PICHA:Kutoka nyuma kushoto ni Mary Maximilian(Mkewe Max), Chini kushoto ni Veraikunda Urio, katikati ni Saraphina Urio na Mwisho kabisa ni Catherine Patrick.