
Waimbaji Hahiri watakosindikiza uzinduzi huu ni John Lissu, Jackson Benty, Martha Mwaipaja, Ambwene Mwasongwe na wengine wengi.
Uzinduzi huu Unaletwa kwenu na RudishaMusic chini ya udhamini wa Chinese Restaurant, ABE Professional Sound, WAPO radio Fm na NEDED GROUP DESIGNERS
Kiingilio:
VIP: Tshs. 10,000
KAWAIDA: Tshs 5,000
WATOTO: Tshs. 2,000
Tiketi zinapatikana:
Kontena La Vitabu-Kawe Tanganyika Packers
Chinese Restaurant-NIC Building Posta
Christian Bookshop -Posta
Tarakea Restaurant-Mwenge
WAPO Radio FM-Kurasini
Rachel Marlon Saloon-Msasani