Jackson Benty mwanamuziki mahiri wa muziki wa Injili hapa nchini Tanzania yupo mbioni kununua vyombo vya kisasa vya muziki. Ili kuimarisha na kuendeleza huduma ya uimbaji ambayo Mungu ameipanda ndani yake RudishaMusic inakuomba umuunge mkono kwa kumchangia kiasi chochote ulichobarikiwa nacho na Mungu atakubariki. Kwa michango yote tafadhali wasiliana na Jackson Benty Mwenyewe Kupitia simu yake 0718 255112 / 0757 426721 au mtumie barua pepe
bentyjackson@ymail.com