Kijana Barnabas Kassian hivi karibuni ameibuka na mtindo mpyaaa katika medani ya muziki wa Injili. Kijana huyu ambaye hupenda kujiita Kondo wa Yesu ambaye ni bingwa wa miondoko ya mchiriku ametokea kupendwa sana wa wapenzi wa muziki wa injili huku yeye akiendelea kumpa BWANA sifa na utukufu.
Jina la konda wa Yesu husema mwenyewe “heri kuwa konda wa Yesu kulikoni kuwa msukule”. Unaijua historia ya maisha yake? Endelea kutembelea RudishaMusic tutakuletea makala maalumu itakayomtambulisha Barnaba mwan wa faraja.