Friday, October 8, 2010

Christina Shusho


Christina Shusho ni mmoja kati wa waimbaji wachache wa muziki wa injili nchini Tanzania wenye kuimba kwa miondoko ya taratibu na kuuvuta uwepo wa BWANA. Moja kati ya vibao vyake vinavyofanya vizuri zaidi katika miondoko hiyo ni "Neno la Mungu".