Mwanamuziki wa Muziki wa Injili Kashumba Basili a.k.a K-Basil akiwa na mkewe bi Perida Mdegella saa chache baada ya Kufunga pingu za Maisha siku ya tarehe 5 Disemba 2010. K-Basil pia ni mchungaji ngazi ya MP Katika kanisa la Glory of Christ Tanzania Church almaarufu kama Nyumba ya Ufufuo na Uzima